background cover of music playing
KOMPLIKE - Manolo Ke

KOMPLIKE

Manolo Ke

00:00

02:59

Song Introduction

Hakuna habari zinazohusiana na wimbo huu kwa wakati huu.

Similar recommendations

Lyric

Manolo you already know now

One time two time

Bibi alikupa mfiti

Fine girl anawajibika kamili

Sasa wewe unatamani wengine

Unakomplike ayai

Kazi alikupa fiti

Wako like

This is a serious wakili

Sasa deal zimekuja na ni fishy

Unakomplike

Tamaa tamaa

Tamaa inakuwasha

Tamaa tamaa

Tamaa itakumurder

Umenipa uhai

Sitaki kukomplike

Abundant life

Mbona mi nikomplike

Ai Baba

Sitaki kukomplike

Mbona mi nikomplike

Nisaidie mimi nisikomplike

Mbona mi nikomplie (twende)

Sitaki kukomplike

Gospel uliimba fiti

Msanii ukapenya

What a good feeling

Sasa uko secular

Mavideo zimejaa tu

ma mscheew ulikomplike

Kanisa ilijaa watu

Ukianza kuhubiri

Kuna uwepo wa Mungu

Ona sasa umechanganya

Na vitu umekomplike aaah

Tamaa tamaa

Tamaa inakuwasha

Tamaa tamaa

Tamaa itakumurder

Umenipa uhai

Sitaki kukomplike

Abundant life

Mbona mi nikomplike

Ai Baba

Sitaki kukomplike

Mbona mi nikomplike

Nisaidie mimi nisikomplike

Mbona mi nikomplie (twende)

Sitaki kukomplike

Umenipa uhai

Sitaki kukomplike

Abundant life

Mbona mi nikomplike

Baba sitakomplike

Sitaki kukomplike

mimi sitakomplike

Nisaidie nisikomplike twende

Gloire nipe Gloire nipe

Gloire nipe ahhh ongeza ongeza

Usikomplike usikomplike

Usikomplike usikomplike

Ahh wacha kukomplike

A1 music

hapana komplike chaa

- It's already the end -